TAWI LA MPANDA
Benki imeizundua tawi lake jipya la Mpanda, mkoani Katavi. Hafla hii fupi ilifanyika tarehe 21.01.2022 na kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko. Tawi la Mpanda lilianzishwa mwaka 2010 kwenye ofisi za posta, ikiwa ndo benki ya kwanza kabisa kufika na kutoa huduma za kifedha katika mkoa wa Katavi